mwezi - month - mois

swahili English français
1 mwezi wa kwanza januari January janvier
2 mwezi wa pili februari February février
3 mwezi wa tatu machi March mars
4 mwezi wa nne aprili April avril
5 mwezi wa tano mei May mai
6 mwezi wa sita juni June juin
7 mwezi wa saba julai July juillet
8 mwezi wa nane agosti August août
9 mwezi wa tisa septemba September septembre
10 mwezi wa kumi oktoba October octobre
11 mwezi wa kumi na moja novemba November novembre
12 mwezi wa kumi na mbili desemba December décembre

majira - seasons - les saisons

swahili English français
majira ya mwanzo wa mwaka Spring le printemps
majira ya joto Summer l'été
majira ya mwisho wa mwaka Autumn, (Fall) l'automne
majira ya baridi Winter l'hiver