rangi - color(s) - couleur(s)

  swahili English français
  hudhurungi beige "
  kahawia brown marron
  nyeusi black noir
  rangi ya jivu, kijivujivu grey, gray gris ["cendre"]
  nyeupe white blanc
  manjano yellow jaune
  waridi, pinki pink rose
  rangi ya machungwa orange "
  nyekundu red rouge
  rangi ya zambarau purple violet
  samawati sky blue bleu ciel
  buluu blue bleu
  kijani green vert