mwili - body - corps

swahili English français
jasho sweat, perspiration sueur, transpiration
ngozi skin peau
laika / malaika hair poil(s)
unywele / nywele hair cheveu(x)
kichwa (/ vichwa) head tête
kisogo (/ visogo) back of the head arrière de la tête
paji la uso (/ mapaji) forehead front
kunjo / makunjo wrinkle(s) ride(s)
(u)bongo brain cerveau, cervelle
akili intelligence "
roho, nafsi soul âme
ndoto, njozi dream rêve
uso (/ nyuso), sura face visage
sikio / masikio ear(s) oreille(s)
usi wa jicho
/ nyusi za macho
eyebrow(s) sourcil(s)
kigubiko cha jicho
/ vigubiko vya macho
eyelid(s) paupière(s)
jicho / macho eye(s) œil / yeux
mboni ya jicho
/ mboni za macho
eyeball(s) pupille(s)
chozi / machozi tear(s) larme(s)
pua (/ mapua) nose nez
tundu la pua
/ matundu ya mapua
nostril(s) narine(s)
sharubu / masharubu mustache(s) moustache(s)
udevu / ndevu hair / beard poil / barbe
shavu / mashavu cheek(s) joue(s)
mdomo / midomo lip(s) lèvre(s)
mdomo, kinywa
(/ midomo, vinywa)
mouth bouche
ulimi (/ ndimi) tongue langue
jino / meno tooth / teeth dent(s)
ufizi / fizi gingiva, gums gencive(s)
taya jaw, jawbone mâchoire
kidevu (/ videvu) chin menton
shingo (/ mashingo) neck cou
koo throat gorge
kidakatonge (/ vidakatonge) Adam's apple pomme d'Adam
kifua (/ vifua) chest poitrine
titi / matiti,
ziwa / maziwa
breast(s) sein(s)
(u)tumbo belly, stomach ventre, estomac
kitovu (/ vitovu) navel nombril
ini (/ maini) liver foie
nyongo bile, gall bile
kongosho pancréas
wengu (/ mawengu) spleen rate
figo / mafigo kidney(s) rein(s)
kibofu (/ vibofu) bladder vessie
mkojo (/ mikojo) urine "
pafu / mapafu lung(s) poumon(s)
moyo (/ mioyo) heart cœur
damu blood sang
mshipa / mishipa vein(s) veine(s)
mshipa wa fahamu nerve nerf
msuli / misuli muscle(s) "
mfupa / mifupa bone(s) os
ubavu / mbavu rib(s) côte(s)
kiunzi (/ viunzi),
gongono
skeleton squelette
mgongo (/ migongo) back, backbone dos
bega / mabega shoulder(s) épaule(s)
mkono / mikono arm(s)
hand(s)
bras
main(s)
kwapa / makwapa armpit(s) aisselle(s)
kiko / viko elbow(s) coude(s)
kifundo cha mkono wrist poignet
ngumi fist poing
kidole / vidole vya mkono finger(s) doigt(s)
kidole gumba thumb pouce
ukucha / kucha fingernail(s) ongle(s)
kiuno (/ viuno) waist taille
tako / matako buttock(s) fesse(s)
mguu / miguu leg(s)
foot / feet
jambe(s)
pied(s)
paja / mapaja thigh(s) cuisse(s)
goti / magoti knee(s) genou(x)
fundo la mguu
/ mafundo ya miguu
ankle(s) cheville(s)
kisigino / visigino heel(s) talon(s)
unyayo (/ nyayo) sole of the foot plante du pied
kidole cha mguu
/ vidole vya mguu
toe(s) doigt(s) de pied,
orteil(s)







afya - health - santé

swahili English français
gari la wagonjwa ambulance "
hospitali hospital hôpital
kliniki clinic clinique
zahanati
mwuguzi / wauguzi
infirmary, dispensary
nurse(s)
infirmerie, dispensaire
infirmière(s)
mganga / waganga traditional healer(s) guérisseur(s)
daktari / madaktari medical doctor(s) médecin(s), "docteur(s)"
daktari wa meno dentist dentiste
daktari wa upasuaji surgeon chirurgien
duka la madawa drugstore, pharmacy pharmacie
dawa / madawa medication médicament(s)
mpira condom préservatif, "capote"
UKIMWI AIDS SIDA
ugonjwa wa kisukari diabetic diabétique
ugonjwa / magonjwa,
maradhi
disease(s) maladie(s)